Mratibu wa Mkurabita Bi Seraphia Mgembe akiongea na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini kuhuhusu mpango wa Kurasimisha Rasilimasli na Biashara za Wanyonge Tanzania.shughuli hiyo imefanyika Zanzibar.
Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar BI. Amina Hamisi(Katikati) akiongea na wanahabari kuhusu mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge mjini Zanzibar leo. Kulia ni Mratibu wa Mkurabita Bibi Seraphia Mgembe,Kushoto ni Mkurugenzi wa Urasimishaji Kutoka Mkurabita Bwana Stephen Rusibamanyika.Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...