Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa na mke wake, Fridah Mockray wakati wa ibada ya ndoa takatifu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa katika pozi na mke wake, Fridah Mockray mara baada ya kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akipongezwa na mama yake mzazi
Pozi la harusi
Picha ya pamoja
Maharusi wakitoka Kanisani
Matron akisaini cheti


better late than never...
ReplyDeletenimependa biharusi kavaa kuendana umri wake.
ReplyDeleteDu kumbe bado sijachelewa
ReplyDeleteAnony wa kwanza umenitasabamusha! Huyu inawezekana somethinh happened labda alitalika, alipotelewa na mweniwe! vitu kama hivyo so, !!!. Nimejiuliza hana mjukuu huyu kweli! Lakini kajipatia kitulizo cha roho! Wambea wakome na maneno yao!
ReplyDeletetehee tehe!