Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akipokea zawadi maalum kutoka Rais mpya wa Mexico iliyokabidhiwa kwa Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Suleiman Saleh, mara baada ya kuapishwa kwa Rais huyo leo jijini Mexico City.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akipokea zawadi kutoka kwa Rais Mpya wa Mexico iliyokabidhiwa kwa Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Suleiman Saleh leo jijini Mexico City.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa na Mama Asha Bilal akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa MEXICO Bw. Enrique Nieto zilizofanyika leo kwenye viwanya Bunge jijini Mexico City. Picha na VPO


Katika nchi nyingine, kama zawadi ikifika kiwango fulani, si ya waliopewa; inakuwa ya taifa!
ReplyDelete