Mrembo wa Afrika Mashariki 2012  (Tanzania),Jocelyne Maro (katikati) akiwa na mshindi wa pili (Uganda),Ayisha Nagudi pamoja na Mshindi wa tatu (Burundi),Ariella Kwizera mara baada ya kupatikana kwa washindi hao katika Shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Mrembo wa Afrika Mashariki 2012  (Tanzania),Jocelyne Maro akiwa na washindi wenzake alioingia nao hatua ya tano bora katika Shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Warembo walioingia hatua ya kumi bora.
 Mrembo wa Afrika Mashariki 2012  (Tanzania),Jocelyne Maro akipungia mkono mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

AU 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. My sympathies go to all beautiful BIG MAMAS, my love and admiration of your God given beauty has not faded, not one iota. Keep you heads up BIG MAMAZ because you are very CUTE.

    ReplyDelete
  2. Jolyne Maro,

    Kazi umeifanya kuwabwaga Watusi wa Rwanda na Burundi na Wahabeshi wa Eritrea na Djibout!

    ReplyDelete
  3. Bado tunaendeleza kupeleka vilio kwa majerani zetu, chipolopolo nao hoi.Yawezekana sikua sahihi kwa kutabiri ushindi kwa Burundi ila najitetea kwakua michuzi hukuweka picha za wawakilishi wetu kiukaribu zaidi kabla ya mpambano kama ambavyo ulivyofanya kwa wageni shiriki.Ila si kitu hongera Jocelyne, hongera TZ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...