Ngoma za taifa kwenye kumbi za disko enzi hizo zilikuwa kibao, mojawao ni hii ya DeBarge ya 'Rhythm of the Night'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michu,
    Hizi ngoma zinanikumbusha YMcA. Enzi hizo Disco Toto akina DJ Kalikali, Super Deo na mchizi Ray Abdul. Nilikuwa mdogo lakini nakumbuka ukarimu wako one day YMCA. Kama unakumbuka YMCA kwa nyuma pale walikuwa anauza ice cream cone. So wakati huo wa break dance one of my friend alimuambia another kid kuwa anaweza kupiga helicopter wakati ameshikilia ice ya huyo kid. Mshkaji alivyopiga helicpter ice cream ikaanguka. Ilikuwa tafran maana jamaa alidai ice cream yake na mshkaji wangu hakuwa na hela ya kumlipa. Ulikuwa wewe Michuzi na camera yako ulietoa pesa na kumnunulia yule jamaa ice cream yake.

    Anyway, hizi nyimbo zimenikumbusha mbali sana. Toto disco YMCA tukitoka hapo ni Mbowe au Vision pale ushirika.

    Endelea kutuburudisha.

    ReplyDelete
  2. Wajameni,

    Rhumba tililicheza sisi wa enzi hizo wa zamani acheni ubishi ninyi wa kizazi Kipya,,,nikizisikia natamani kulia!

    Hebu tazameni hii 'Rhythm of the Night'nafikiri hata huyo 50 cent wenu, Rihanna wenu na J zay wenu wa sasa hatii maguu!!!

    Nafikiri Ankali Michuzi dozi ziendelee kwa kama walivyolalamika MOJA YA ZILE ZETU SISI WA ZAMANI na INGINE MPYA YA KIZAZI CHA KISASA kila siku!

    Says,

    Mdau wa zile za zamani za Ankal.

    ReplyDelete
  3. Huu muziki ulitumika pia kwenye filamu ya "The Last Dragon" 1985-produced by Rupert Hitzig, remember Leroy Green???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...