Muziki wa Kongo si Ndombolo ya solo pekee, kama walivyodhihirisha vijana wa TRIO MADJESI & SOSOLISO walipotamba na vibao kibao ikiwamo hiki cha PHOTO YA MADJESI. Asante mdau Mesiaki
kwa kutuletea ngoma hii na kutupa ujumbe huu chini:
Ankal,
Hii kitu ya photo madjesi ya Sosoliso ilikuwa moto wa kuotea mbali yaani mabrazameni wa wakati huo hawawezi kupatikana leo tuwape vitu wadau
I am sorry....
Mdau Mesiaki
Si mchezo. Hapa kama sikosei ni mwaka 1973 au 1974 na tunaona 'influence' ya mwanamuziki wa Marekani James Brown kwa wanamuziki wa Afrika enzi hizo. Hawa jamaa walikuwa ni wakali wa kupiga live. Unachokisikia katika rekodi zao ndicho kilekile utakachokisikia wakipiga live.
ReplyDeleteUMENIRUDISHA MBALI SANA..
ReplyDelete