MH. GODBLESS LEMA AMERUDISHIWA UBUNGE WAKE LEO BAADA YA KUSHINDA RUFAA YAKE ILIYOKUWA IKISOMWA KWENYE MAHAKAMA YA RUFAA JIJINI DAR ES SALAAM.

HABARI KAMILI ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. OMG!!!! ARUSHA KUSHNEY.. TUMEKWISHA HAKUNA TENA MAENDELEO NI VURUGU TUPU OOOH GOD.NO AMANI TENA.

    ReplyDelete
  2. Hakika haki haipotei nimeamini mahakama ya rufaa ni aibu kubwa kwa hukumu ya awali, namwonea huruma aliehukumu maana ameumbuka yeye na wapambe wake. Bravo Lema Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Arusha!!!!!

    ReplyDelete
  3. Ohhh, ohhh, ohhh!

    Kazi tunayo Bungeni kwa Uchangiaji na Hotuba za matusi na kejeli tena!

    ReplyDelete
  4. hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. Mafao ya Bunge mchezo?

    Hadi koti limepauka!

    Lakini anarudi Bungeni kamasi zikiwa zimemtoka, akiwa joto ya jiwe ameionja kwa kukaa juani miezi kadhaa!

    ReplyDelete
  6. Ile kiasi BREAKING NYUZZZZZ......: MH.GODBLESS LEMA ASHINDA RIFAA.

    Unaweza kukuta Ankali mtu mmoja sehemu fulani ameshapoteza masikio ama mikoni kwa mapanga na visu vya wanachama wa chama hiki, kwa habari kama hiyo kwa mara tu kuruka hewani!

    Maana jamaa wana midadi balaa?

    ReplyDelete
  7. Haya sasa haki imetendeka lakini ndio hivyo tena walevi na wavuta bange wanarudi mjengoni kukamilissha ile Easy Comedy ya wakubwa.Mithupu chapisha hii usibanie.Naamini sijachafua halia ya hewa bali ni ukweli mtupu.

    ReplyDelete
  8. Cha msingi Godebless atakuwa amekoma kutoa lugha za matusi.

    Atakuwa amejirekebisha na amepevuka kimtazamo badala ya utoto aliokuwa nao hapo kabla ya RUNGU kumfika utosini!

    Miezi kama 10 hivi nje ya Bunge sio mchezo kwa mtu aliyezoea kuokota bahasha Dodoma !

    ReplyDelete
  9. Hongera Bw Lema Hongera CHADEMA. Niwaase kwa ufupi tu Muutumie Ushindi huu kwa makini Hekima na Busara. Muonyeshe tofauti. Hasa katika kutumia vinywa vyenu ama katika mimbari za siasa za kifamilia na hata kwengineko. Onyesheni tofauti Mlikotoka-Mmekomaa sasa. Mlipo na Muelekeako ndio kugumu zaidi. Else Mtajutia nafasi hii Adimu!! Mbarikiwe sana.

    ReplyDelete
  10. Jua kali limemuwakia kwa miezi kibao akiwa nje ya Bunge, mpaka koti lake limepayuka!

    Kukosa kupelea makoti kwa Dobi mchezo?

    ReplyDelete
  11. Pamoja na kurudi Bungeni atakuwa amekoma!

    Kuwa nje ya SACCOS (Bunge) kwa miezi yote hiyo mchezo?

    ReplyDelete
  12. Mmeona kidevuni mashina mapya kabisa wembe umepita jana tu!

    Ndevu ndio kwanza amenyowa jana jioni Manzese kwa Kinyozi ili asubhuhi ya leo adamkie kwenda Mahakamani kusikilizia rufaa.

    ReplyDelete
  13. Mdau wa Fri Dec 21, 08:03:00 PM 2012

    ha!,ha!,ha!,ha!,ha!

    Shs. 500/= ya mwisho aliyoitumia kumlipa Kinyozi Manzese juzi jioni ili anyolewe ndevu imetokea kwenye bahasha ya mwisho aliyoipokea Dodoma miezi 10 iliyopita kabla ya kusimamishwa Ubunge!

    Ile kufika Mahakamani jana amesaidiwa lifti na Mbunge mwenzie wa Chama chao wa Dar anayetumia Vitz kwa kuwa yeye GL ameliacha Toyota Stout Pick up lake old model shambani Arusha akishindwa hela ya mafuta kutoka nalo Arusha hadi Dar kwenye kusikiliza Rufaa!

    Hivyo kulingana na hali tete iliyokuwa inamkabili Lema amesali huku analia machozi kwa matokeo hayo ya ushindi wa kesi!

    ReplyDelete
  14. Hongera sana Godbless Lema pia hongera sana CHADEMA.

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni aje na mkokoteni

    au gari kinachojalisha amefika mahakamani na ushindi ameupata

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...