Kijana mdogo Aslay anayetokea kundi la TMK anatisha na ngoma yake ya 'Nakusemea'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. 1. Wimbo mzuri na una hisia, lakini dogo kusema ni kufata hisia kwani kama ni ugomvi anazua mwengine na kusema hakutamtuliza baba.tafuta suluhu nyengine.

    2. Pia madada wakimuona mama anachuna hawamwambii baba, wasema siri za kike. Nawe msikize baba, mtoto wa kiume. Bali wavulana na wasichana wakimwona baba humsema. Woote wakimwona mama hunyamaza. What happende to us boys, the boys' thing, and boys' bond?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...