Mojawapo ya ngoma zilizotamba sana enzi hizo ni hii ya Gloria Estefan ya 'Dr Beat' ambayo ilipopigwa tu kila mtu alivamia ukumbi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ahhh Michuzi umenitoa machozi!

    Muziki huu unapigwa miaka ya 1985 nikiwa nigali mvulana mdogo na handsome boy nacheza toto disco Africana Hotel, Space 1900 Studio Mbowe, Vision 2000 Maggot na YMCA!

    Lohhh jamani ukubwa kumbe una mtihani wake, sikujua nitaitwa mtu mzima nikiwa na majukumu kama Serikali!!!

    ReplyDelete
  2. Anon,

    Africana hapakuwahi kuwa na toto disco!

    ReplyDelete
  3. vision 2000 hapakuwahi kuwa na toto disco.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...