Marehemu Mbaruku Ahmed Bawazir
Watanzania Japan tunasikitika kuwatangazia msiba wa ndugu yetu mpendwa Mbaruku Ahmed Bawazir ambaye amefariki dunia tarehe 12-12-2012 katika hospital ya redcross tokyo.
Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanyika. tunaomba ndugu jamaa na marafiki kujitokeza kwa michango ya hali na mali ili kufanikisha mwili wa marehemu kusafirishwa kwenda Tanzania.
unaweza kuwasirisha mchango wako kupitia akaunti ifuatayo.
Sugai Prosper
Tokyo Mitsubishi UFJ
Account 3662558
Shinjuku-chuo brank.
Swift code -botkjpjt
Code -0005
Simu +819022308435
Kwa maelezo wasiliana na hawa wafuatao:
pembe rashid- (tokyo kanagawa) 080-3458-8786
martin gongoli( nagoya) 080-3455-1970
amarido charles( tokyo kanagawa) 0808-3721-1868
matilda sasaki (tokyo kanagawa) 080-3560-5324
msiba kwa sasa upo odakyu sagamihara (nyumba aliyokuwa anaishi mwidi) address :
shamburu 101
sagamidai, 2-1-2,
sagamihara-shi,kanagawa ken, japan.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...