Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Hadija Komba (kulia), akigawa zawadi ya madaftari kwa washindi wa shindano la kuvuta kamba kwa niaba ya watoto waliokuwepo kwenye Bonanza la michezo lililofanyika kwenye ufukwe Cine Club jijini Dar hivi karibuni.
Wadau wa NSSF wakishindana kuvuta kamba.
Washindi wa shindano la kuvuta kamba timu ya Wazazi wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Hadija Komba (wa nne kulia), baada ya kuwakabidhi zawadi ya madaftari ishirini kila mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kuna mdau mmoja kuna siku alisema ukiona picha za sherehe bongo basi kama ni michezo itakua kuvuta kamba au kukimbiza kuku. kweli nimeamini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...