Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto), akimkabidhi Cheti cha Ushindi,Meneja Rasilimali Watu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dominic Mbwette baada ya Shirika hiyo kupata Ushindi wa Mwaka wa uwajibikaji kwa jamii, katika hafla ya utopaji tuzo za Mwajiri Bora Tanzania 2012 zilizofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. suti huwa zina étiquette zake jamani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...