Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE APONGEZWA KWA MAFANIKIO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anastahili pongezi.Swali-Kuna uhusiano wowote kati ya Ongezeko la watu na ukuaji wa Uchumi wa nchi??Heri ya mwaka mpya wote,
ReplyDeleteDavid V
wow, kila miaka 10 tunaongeza milioni 10 (milioni kila mwaka, 2740 kila siku,115 kila saa, 2 kila dakika).
ReplyDeleteHii kasi kubwa saana ukizingatia kasi kubwa ya kufa kwa ukimwi, malaria, kipindupindu na ajali za barabarani. Inabidi tuongeze muda wa kufanya kazi na kupunguze muda wa kulala.
Tanzania ndiyo nchi yenye kasi ndogo ya ukuaji wa idadi ya watu Afrika Mashariki na Kati ( yaani kasi ni ndogo kuliko kasi ya kuzaana Uganda, Burundi, Kenya, Rwanda ).
ReplyDeleteInaonekana juhudi zikifanyika kuhakikisha nyota ya kijani infuatwa basi tutakuwa na ksi ndogo ya kuzaana kama Ulaya na Japani.
World bank report http://www.theeastafrican.co.ke/news/Tanzania-alarm-over-expected-population-boom/-/2558/1655352/-/83jsmc/-/index.html