Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi mabweni ya Wasichana katika shule ya sekondari ya Nachingwea leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila,Mkuu wa Shule ya Wasichana Lindi Bi.Rahma Zedi(Wapili kushoto),Mkurugenzi wa wilaya ya Nachingwea,Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bibi.Regina Chonjo na Mbunge wa Jimbo Nachingwea Bwana Mathias Chikawe.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme wilayani Liwale,mkoani Lindi leo.Kushoto ni Mbunge wa Liwale Bi.Faith Mtambo, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa TANESCO Injnia Felchesmi Mramba(waoili kushoto) na kulia ni mkuu wa mkoa wa Lindi Bwana Ludovick Mwananzila(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mh. Raisi ukifanya haya waziri wako wa elimu hatakuwa na kazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...