Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Dkt Terezya Huvisa (katikati) akiwa katika mjadala na baadhi ya washiriki unaongozwa na Bank ya Maendeleleo Afrika, mdajala umehusu mfuko wa kufadhili suala la mabadiliko ya tabia nchi,katika mkutano wa dunia wa 18 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjinini doha.
Baadhi ya waheshimiwa Mawaziri wa Mazingira kutoka katika kundi la nchi za SADC walipokutana leo Mjini Doha, ili kuweza kupata kwa ufupi kutoka kwa mwenyetiki wa kundi la Africa yaliyojadiliwa katika mkutano wa 18 wa dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Doha.(Picha na Evelyn Mkokoi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sasa hawa wanawakilisha EU au Tanzania? protocol mko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...