Meneja wa Bia ya Safari Laager, Oscar Shelukindo(kulia) akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Mtwara wakiwemo wajasiliamali wakati wa uzinduzi wa Programu ya Safari Lager Wezeshwa awamu ya pili katika viwanja vya Bima mkoani humo mwishoni mwa wiki.Kushoto ni mmoja wa wajasilimali waliowezeshwa awamu ya kwanza, Stumai Namanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...