Bondia Francis Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri Bondia Nassibu Ramadhani (kushoto) katika mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika kesho 9 desemba katika ukumbi wa PTA Sabasaba. |
Bondia Nassibu Ramadhani (kushoto) akitunishina Msuri na bondia Francis Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho 9 Desemba,katika Ukumbi wa PTA,Sabasaba jijini Dar. |
Hawa mabondia wetu bwana ukisema utaambia unanongwa sasa ndio miili gani jamani hata gym kwenda taabu tena hela wanapata lakini kutengeneza mwili walau ufanane na athletic figure hawataki. Taabu kweli kweli yaani hata kupendezesha mwili wako uvutie kimichezo utahitaji sponsa?????
ReplyDeleteNjaa mbaya sasa hapo mnaenda kupigana miili yenyewe ndio hiyo. Bahati mbaya kitu chochote kikitokea hapo tunaanza kusema amelogwa kumbe afya ni mgogoro.
ReplyDeleteAnony Sun Dec 9 01:29
ReplyDeleteTambua kwamba miili ya mabondia huko nje haiji ukubwani, inatengenezwa tangu wakiwa watoto.
Pili, mabondia wanapangwa kulingana na uzito ndiyo maana kuna feather , light au heavy weight nk. Hivyo kuingia gym bila ushauri mzuri unaweza kusababisha kuongezeka kwa uzito na hivyo kupandishwa daraja fasta mf heavy weights..... ambako ngumi zake si za kitoto kama za hapa kwetu
Ndo maana inashauriwa kuanza michezo ukiwa mtoto.... ili ubalance mambo yote
Nyie wadau mnaopiga dongo miili ya hawa madondia hamna hili wala lile.Hawa mabondia wako poa sana nad wanajifua vizuri tu, angalia misuli yao, not all boxers are HEAVY WEIGHT.
ReplyDelete