Booby na mdogo wake Sellah wakiwatakia wadu woooote wa Globu ya Jamii Salaam nyingi za Krismas kwa niaba ya Ankal.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. aawwww! merry xmas watoto wazuri. Mtoto tunaesherehekea kuzaliwa kwake leo awape hekima muwapende wazazi wenu na watu wote bila kubagua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...