![]() |
Mkuu wa Kitengo cha Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani namna huduma ya upatikanaji wa taarifa za hali ya hewa kuanzia sasa itakavyofanyika kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini na Kampuni ya Vodacom, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Dk Agnes Kijazi. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
Taarifa za hali ya hewa sasa kupatikana kwa njia ya simu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...