Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambazi mapema leo katika eneo la Kariakoo,jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa hospitali kwa Matibabu.kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi Kariakoo.Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.
Home
Unlabelled
Hali ilivyikuwa Kariakoo jijini Dar leo baada ya majambazi kufanya tukio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POLISI YA SASA NI DOT.COM
ReplyDeletePOLISI INATISHA!
POLISI YA SASA SIO ILE YA MAFAILI YA KARATASI NA MAKABRASHA, INATUMIA KOMPUTA!
POLISI NGUNGURI!
POLISI SIO MCHEZO!
Majambazi nawashauri mtafute akili mpya mkaombe Makazi mapya Vijijini mkalime, biashara ya Ujambazi itawaponza mutakufwaaaaa!!!
Mungu awaweke mahala pema peponi walio poteza uhai wao. Na naamini haki itatendeka. Hongera polisi ya bongo Mungu awape nguvu ya kuweza kulinda usalama wa raia wa tz kikwete ooooyeeee.
ReplyDeleteSasa mdau unaisifia polisi na huku watu washapoteza maisha? ilipaswa wazuie tukio au ndo unatumia fasihi...
ReplyDeleteKwanza huyo mdau ana uhakika na anachokisema? kwa lipi hasa? aaaahh nadhani yupo usingizini anaota ndoto za mchana kweupeeeee.
ReplyDeleteMdau wa Pili (2) Tue Dec 18, 09:58:00 PM 2012 na Mdau wa Nne (4) Wed Dec 19, 02:22:00 AM 2012
ReplyDelete...UJAMBAZI SASA MNATAKA APAMBANE NAO NANI?
SAWA, PAMEKUFA WENGINE WASIO NA HATIA JE, MKITAKA MAJAMBAZI WASISHUGHULIKIWE WENZETU MPO UPANDE GANI?
1.MPO KATIKA HAKI ZA KIBINAADAMU?
AU
2.MPO KATIKA MSIMAMO WA KIDINI?
JE, HAKI ZA UBINAADAMU NA MISIMAMO YA KIDINI VINAKUBALIANA NA MASUALA MABAYA YA NYETI KAMA UHALIFU NA UJAMBAZI ???
Majambazi yaliiba pesa?kama yaliiba unafikiri mwenye pesa atarudishiwa zote?nyingine zitadondokea njiani
ReplyDelete