Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk kulia akibadilishana Mawazo na Kadhi Mstaafu wa Kenya Sheikh,Hamad Kassim katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdulla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.
 Baadhi ya Walimu wa Madrasa na Wanafunzi waliohudhuria katikaTamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdulla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lilifanyika People Palace, Forodhani,  Zanzibar.
 Kadhi Mstaafu wa Kenya Sheikh,Hamad Kassim akitoa Historia ya Maisha ya Sheikh Abdulla Saleh Farsy katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh huyo aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960 kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.
 Mwanafunzi wa Sheikh Abdalla Saleh Farsy  Sheikh Machano Hamadi Machano akitoa Historia ya Madarasa aliokuwa akifundisha Sheikh huyo na Masomo yake  katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdulla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akitoa hotuba katika Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdulla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI - MAELEZO ZANZIBAR. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni kitu kizuri kimefanyika kwani sheikh Abdulla ni ktk wasomi wachache ambao walitoa juhudi kubwa ya kutafasiri quran kwa lugha ya kiswahili. Ingawaje imekuja kuchelewa lakin kumuenzi kwake kuwe kwa kitu ambacho kitabakisha utajo wake kwa muda mrefu kama vile kujenga shule ya fani mbalimbali, au kituo cha mayatima kwa jina lake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...