Maandamano ya Kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani yakipita mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipata maelezo kuhusu Mkongo wa Taifa wa
Mawasiliano kutoka kwa Afisa wa TTCL mkoani Lindi,Bi. Anifa Chingumbe wakati alipokuwa akitembelea Mabanda mbali mbali ya Maonyesho yaliyokuwepo kwenye uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi jana,ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Lindi wakiwa wamejazana kwenye Banda la TTCL ili kupatiwa maelezo mbali mbali juu ya mambo ya Mawasiliano.
Meneja Biashara wa TTCL Mkoa wa Lindi,Bw. Omari Mbogo akipokea cheti cha
ushiriki kwenye Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani,kutoka kwa mmoja wa waratibu wa maadhimisho hayo kwa niaba ya
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Ludovick Mwananzila.
wafanyakazi wa TTCL Mkoani wakiwa katika picha ya pamoja kwenye maonesho hayo.





.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...