Viongozi wa klabu za waandishi wa habari za Pwani na Kilimanjaro wakijadiliana jambo.toka shoto ni mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Pwani.Masau Bwire,katikati ni Katibu wa MECKI,Nakajumo James na kulia ni Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Rodrick Makundi.
Makamu mwenyekiti wa klabu ya wanahabari mkoa wa Kilimanjaro ,Salome Kitomary akisoma taarifa ya klabu hiyo kwa wageni kutoka klabu ya wanahabari mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa MECKI,Rodrick Makundi akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro.
Mratibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Yusuph Mazimu akitoa uzoefu alioupata toka aanze kazi hiyo akilinganisha na klabu nyingine ambazo baadhi ya waratibu wamekuwa na migogoro na viongozi wa vilabu.
Mratibu wa MECKI ,Yusuph Mazimu akimuonesha mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Pwani ,Masau Bwire namna anavyoandaa taarifa mbalimbali kwa ajili ya mirejesho UTPC ikiwa ni sehemu ya kazi yake.
Wanahabari wa mkoa wa Pwani walikuwa katika ziara mkoani Kilimanjaro wakigonga glass na viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro katika siku yao ya kwanza ya ziara katika klabu hiyo.Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii ,Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...