Mwenyekiti wa Bodi ya nne ya Tume ya Utangaaji ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis akipokea nyenzo za kufanyia kazi kwa Bodi hiyo kutoka kwa Waziri wa Habari Utamaduni utalii na Michezo Said Ali Mbarouk.
Mwenyekiti wa Bodi ya nne ya Tume ya Utangaaji ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis akitoa shukrani kwa kuteuliwa na kuahidi kufanya kazi ipasavyo katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo Kikwajuni mjini Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Chande Omar Chande akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni utalii na Michezo Said Ali Mbarouk kuizindua Bodi ya nne ya Tume ya Utangazaji katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Tume hiyo Kikwajuni mjini Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...