Wadau Alphonce Magori na Maristella  wakikata keki katika mnuso wa nguvu ulioandaliwa hoteli ya Serena Inn jijini Dar es salaam baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Joseph wikiendi ilopita. Chini ni wakati wa champeni...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyu Jamaa alikuwa hajaoa mpaka leo? Eeh.

    ReplyDelete
  2. Haya kaka naona fully shangwe na mawaifu wako..wadau wamesema ilikuwa ni harusi ya kufa mtu..nakutakia maisha mema ya ndoa mkuu...Regards Supervisor

    ReplyDelete
  3. Hongera Magori kwa kuanza maisha mapya

    UDSM Classmate

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...