Afisa Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bwana Emphraim Mdee akiongea na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Urasimishaji wa Tasnia ya Filamu na Muziki Tanzania na kuanzishwa kwa utaratibu wa kubandika stempu za kodi kwenye kazi za wasanii,katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi wa Filamu Tanzania Bibi Joyce Fissoo.(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...