Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimjulia hali Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Moi kwa matibabu ya Maradhi yanayomsumbua.Mzee Pinda yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga.kulia kwa waaziri mkuu ni Muuguzi mkuu wa zamu wodi hiyo Edna Mhina na kushoto kwa waziri mkuu ni Donatila Kwelukila ambaye ni afisa muuguzi chumba cha wagonjwa mahututi
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMJULIA HALI BABA YAKE ALIELAZWA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


pole sana mkulima
ReplyDeleteSAFI SANA HIYO MTOTO WA MKULIMA CHUMBA SAFI CHA MGONJWA WA UGUZI WENGI HIVYO MFANO HUO UNAPASWA KUIGWA SIO MAADAMU WEWE UNA WADHIFA NA PESA UNAKIMBILIA INDIA NA ASILIMIA KUBWA WANAO PELEKWA INDIA YANARUDI MASANDUKU NA JUU YAKE DENI KUBWA LA MAMILIONI YA PESA AMKENI WA TANZANIA MSIWE GIZA INDIA BIASHARA TUPU TUICHANGIE SERIKALI
ReplyDelete