Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimjulia hali Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Moi kwa matibabu ya Maradhi yanayomsumbua.Mzee Pinda yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga.kulia kwa waaziri mkuu ni Muuguzi mkuu wa zamu wodi hiyo Edna Mhina na kushoto kwa waziri mkuu ni Donatila Kwelukila ambaye ni afisa muuguzi chumba cha wagonjwa mahututi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. pole sana mkulima

    ReplyDelete
  2. SAFI SANA HIYO MTOTO WA MKULIMA CHUMBA SAFI CHA MGONJWA WA UGUZI WENGI HIVYO MFANO HUO UNAPASWA KUIGWA SIO MAADAMU WEWE UNA WADHIFA NA PESA UNAKIMBILIA INDIA NA ASILIMIA KUBWA WANAO PELEKWA INDIA YANARUDI MASANDUKU NA JUU YAKE DENI KUBWA LA MAMILIONI YA PESA AMKENI WA TANZANIA MSIWE GIZA INDIA BIASHARA TUPU TUICHANGIE SERIKALI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...