Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood katika Kata ya Lukobe, Manispaa ya Morogoro, aliyoifanya Desemba 16, 2012 kwa ajili ya kuzindua kisima cha maji akichokifadhili katika uchimbaji na ujenzi wake eneo la Lukobe Juu , wananchi waeneo hilo kwa muda mrefu wanakabiliwa na kero kubwa ya maji.Pichani ni Mh. Bungue akikata utepe kuzundua kisima cha maji.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini,Abdulaziz Abood akipampu maji mara baada ya kukizindua kisima hicho.
Mbunge Abood akifanikisha kuingiza wanachama wapya wa CCM baadhi kutoka vyama vya upinzani.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood akimtwisha ndoo ya maji bibi Antonia Tebrisi (71) mkazi wa Mtaa wa Lukobe Juu, Manispaa ya Morogoro.Picha na John Nditi - Globu ya Jamii,Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...