Meneja Masoko wa Kampuni ya Tanzania Hair Industry ltd James Walwa - Jimmy (kulia) akimkabidhi mbunifu wa mavazi nchini,Ally Rehmtullah tiketi kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Afrika Mashariki katika mkutano wa 'The Economics of the Africa Fashion Industry' utakaofanyika nchini Marekani mwezi wa Februari. Tanzania Hair Industry ltd ambao ndio watengenezaji wa nywele maarufu aina ya Darling ndio wadhamini wa safari ya mbunifu huyu kwenye mkutano huo wa kihistoria utakaofanyika katika Kikuu cha Havard nchini Marekani.
Home
Unlabelled
Ally Remtullah kushiriki mkutano wa ‘The Economics of the Africa Fashion Industry’ Chuo kikuu cha Harvard jijini Boston Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Utafanya mambo mengi utapata umaarufu, utasifiwa na utakuwa na uwezo mkubwa ki-fedha lakini inakuja kuwa tabu pamoja na mafanikio yote hayo unakutwa staa unachapwa nao !
ReplyDeleteHili si ndio majanga la maisha tena?