iPhone 4S - 16GB For Sale (Almost like brand new)
I am selling my iPhone 4S which I only used for three months before getting iPhone 5.
It is white, well looked after and no scratch marks whatsoever. Just like new. It comes in its original box with charger.
I live in the UK. The phone has been shipped and is now in Dar. You won’t pay until you have seen the phone. If interested get in touch.
Price: Tsh 990,000
The first person to see it will buy.
Email: goodygem@hotmail.com
London umechoka kubeba box?tafuta ujanja mwingine wa kupata pound.
ReplyDeletewacha mzaha wewe anon mla vumbi nunua kitu orijinali kutoka UK kwa bibi
ReplyDeletekwani ukiuza simu moja tu ndo umechoka box? kwa hiyo wenye kazi maofisini bongo na nyumbani mnafuga kuku wa kuuza ni kwamba mmechoka kula hela za kampuni? watu walionyimwa visa utawajua tu. wewe kama huwezi ku-afford iphone endelea tu na ki-nokia chako mscheew!
ReplyDeleteKwanini mdau usinge upgrade kwa ku-trade in iphone 4 na kuapata 5, utaratibu ambao unakubalika na manufactucturer pamoja na most carriers. Sasa ikitoka iphone 6 utauza hiyo uliyonunua sasa hivi baada ya kununua iphone 6? Na utaendelea kufanya hivyo kwa iphone 7,8,9,........50?
ReplyDeleteza mchina aina hiyo hiyo tunapata kwa shs 350,000/= hapa Bongo kaka!
ReplyDeleteImekula kwako!
wewe lete dollar 150 mie nitakununulia kwenye craiglist hapa Marekani
ReplyDeleteNadhani huyu mwenzetu anao ndugu na jamaa zake wa karibu ambao wana uwezo wa kununua au/na kumtafutia soko! Hivi vitu vidogo vidogo sidhani kama ni busara kutangazwa kwenye blog kubwa kama hizi.
ReplyDeleteInachosha na kukera kutufanya tusome vijihabari kama hivi!!! Angalieni nini cha kutuletea humu! Asanteni kwa kunielewa!
Huyu jamaa anauza sim yake humu ni mshamba sana,unadhani bongo masikini kama wewe kununua kisimu kimetumika?njoo MAREKANI tukuonyeshe vitu vya kuuza kwa faida wewe.
ReplyDelete