Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa uzoefu wangu hapa UK sasa sio pahala pazuri kwa kusoma. Isipokuwa kwa baadhi ya vyuo tena vichache sana. Pia kwa wale wanaotaka kuja kufanyakazi basi hali imekuwa mbaya sasa maana kazi ni chache sana na watu wanaozitafuta ni wengi mno. Usitegemee kupata pesa ya kujisomesha.
ReplyDeleteAcheni kudanganya watoto wa watu, Attractive Scholarship zitoke wapi??
ReplyDelete
ReplyDeleteUncle michuzi ingekua vizuri ukaweka zile QRS university ranking hapa kweny blog yako ili watanzania wengi wajue chuo kipi top sio kwa kuandika tuu alafu ukifungua hazipo
plz sana sana tunakuomba u publish hizo ranking kwani itasaidia sana sana
Kuna scholarship zipo through hawa Globe, Mimi nipo UK na nimepitia through hawa nasoma Chester University,Badala ya kulipia 9500 unalipa 4950 kwa Masterss..Acheni kurukia vitu msivyovijua.
ReplyDeletekaka wa juu hapo, vyuo vizuri vipi na sio vichache ni vingi,sema ww umeenda kuchambisha watu(Care)haujui vyuo.naona uwezo wako wa kufikiria mdogo..
ReplyDeleteMabishano ya wa Majuu ipo kazi!
ReplyDeleteWabeba Mabox Mdau wa 4 anony Tue Jan 22, 11:42:00 am 2013 na Mdau wa 5 anony Tue Jan 22, 11:54:00 am 2013
ReplyDelete..Mnavyotoleana mimacho kwa kubishana kuhus Elimu ya UK, mkionana mnaweza kuzichapa huko huko Mtaani mkikutana Jijini London.
Mimi ahhh Elimu yangu Jakaya Kikwete ameshanipa Maprofesa wangu wa Kindengereko na Kizigua hapa University of Dar Es Salaam mimi Mgosi wa Kaya naweza uliza Kizigua nikaeleweshwa kama sijaelewa vizuri kwa Umombo!!!
Wasomi ninyi ndio tunaowategemea mje kwenye Miradi ya Gesi, Mafuta na Madini kufanya kazi.
ReplyDeleteHapa ndio hivi mnabishana kijinga, je mkiwa ktk uzalishaji Mtamboni si mtailipua Mitambo yenyewe kwa mabishano ya kijinga?
Ama kweli Majuu kazi ipo,
ReplyDeleteAhhh mimi siwezi kukubali niitwe Mrundi au Banyamulenge nikiwa UK ilihali mimi ni Mtanzania.
Wengine ili kupata unafuu wa gharama za Elimu mnalazimika muitwe ni Warundi au Mabanyamulenge kutoka Kongo ndio muweze kusoma kwa bei ya Msaada UK!
Ama kweli Majuu kazi ipo,
ReplyDeleteAhhh mimi siwezi kukubali niitwe Mrundi au Banyamulenge nikiwa UK ilihali mimi ni Mtanzania.
Wengine ili kupata unafuu wa gharama za Elimu mnalazimika muitwe ni Warundi au Mabanyamulenge kutoka Kongo ndio muweze kusoma kwa bei ya Msaada UK!