Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kwa uzoefu wangu hapa UK sasa sio pahala pazuri kwa kusoma. Isipokuwa kwa baadhi ya vyuo tena vichache sana. Pia kwa wale wanaotaka kuja kufanyakazi basi hali imekuwa mbaya sasa maana kazi ni chache sana na watu wanaozitafuta ni wengi mno. Usitegemee kupata pesa ya kujisomesha.

    ReplyDelete
  2. Acheni kudanganya watoto wa watu, Attractive Scholarship zitoke wapi??

    ReplyDelete

  3. Uncle michuzi ingekua vizuri ukaweka zile QRS university ranking hapa kweny blog yako ili watanzania wengi wajue chuo kipi top sio kwa kuandika tuu alafu ukifungua hazipo

    plz sana sana tunakuomba u publish hizo ranking kwani itasaidia sana sana

    ReplyDelete
  4. Kuna scholarship zipo through hawa Globe, Mimi nipo UK na nimepitia through hawa nasoma Chester University,Badala ya kulipia 9500 unalipa 4950 kwa Masterss..Acheni kurukia vitu msivyovijua.

    ReplyDelete
  5. kaka wa juu hapo, vyuo vizuri vipi na sio vichache ni vingi,sema ww umeenda kuchambisha watu(Care)haujui vyuo.naona uwezo wako wa kufikiria mdogo..

    ReplyDelete
  6. Mabishano ya wa Majuu ipo kazi!

    ReplyDelete
  7. Wabeba Mabox Mdau wa 4 anony Tue Jan 22, 11:42:00 am 2013 na Mdau wa 5 anony Tue Jan 22, 11:54:00 am 2013

    ..Mnavyotoleana mimacho kwa kubishana kuhus Elimu ya UK, mkionana mnaweza kuzichapa huko huko Mtaani mkikutana Jijini London.

    Mimi ahhh Elimu yangu Jakaya Kikwete ameshanipa Maprofesa wangu wa Kindengereko na Kizigua hapa University of Dar Es Salaam mimi Mgosi wa Kaya naweza uliza Kizigua nikaeleweshwa kama sijaelewa vizuri kwa Umombo!!!

    ReplyDelete
  8. Wasomi ninyi ndio tunaowategemea mje kwenye Miradi ya Gesi, Mafuta na Madini kufanya kazi.

    Hapa ndio hivi mnabishana kijinga, je mkiwa ktk uzalishaji Mtamboni si mtailipua Mitambo yenyewe kwa mabishano ya kijinga?

    ReplyDelete
  9. Ama kweli Majuu kazi ipo,

    Ahhh mimi siwezi kukubali niitwe Mrundi au Banyamulenge nikiwa UK ilihali mimi ni Mtanzania.

    Wengine ili kupata unafuu wa gharama za Elimu mnalazimika muitwe ni Warundi au Mabanyamulenge kutoka Kongo ndio muweze kusoma kwa bei ya Msaada UK!

    ReplyDelete
  10. Ama kweli Majuu kazi ipo,

    Ahhh mimi siwezi kukubali niitwe Mrundi au Banyamulenge nikiwa UK ilihali mimi ni Mtanzania.

    Wengine ili kupata unafuu wa gharama za Elimu mnalazimika muitwe ni Warundi au Mabanyamulenge kutoka Kongo ndio muweze kusoma kwa bei ya Msaada UK!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...