Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi vipi mambo natumaini haujambo kabisa.Sasa mimi nina ombi na labda kwa kuanza niseme tu mimi sio CCM wala sipo hata kwenye upinzani yaani niponipo tuu! Sasa ombi langu ni hili kama inawezekana ukaweka mjadala humu ili wadau watoe mawazo yao kuhusu uongozi wa Mweshimiwa Jakaya kama anastahili apewe tena muda wa kutuongoza au lah, mimi kwa mawazo yangu huyu bwana APEWE NCHI YAANI ATUONGOZE TENA KWA AWAMU YA TATU. Unajua huyu jamaa yuko smart sana yaani jamaa ni kichwa kwa kweli mimi nimemkubali sana yaani napata wasiwasi atakayekuja baadae sijui atatuburuza vipi, Kikwete apewe Nchi sababu anamambo mazuri ambayo kayaanzisha sasa akituacha kati sijui itakuwaje , na zaidi ya yote huyu bwana kama ni ubinadamu huyu bwana upo moyoni tena haswa. Nampenda sana Rais wangu.
ReplyDeleteMDAU WASHINGTON DC