Kivuko cha Mv Pangani II ni kiunganishi kikubwa kati ya mkoa wa Tanga na hifadhi ya Saadani kwa watalii wanao toka Tanga. Ila vidumu si kwenye Landrover tuu hata huku pia .
 Tunajazia kidogo .

 Watumiaji wa kivuko wakishuka katika chombo hicho Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Pangani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Imekaa vizuri.

    ReplyDelete
  2. Kivuko cha Pangani safi kabisa.

    Endeleeni kukitunza ili kiweze kuishi kwa muda mrefu

    ReplyDelete
  3. Naona kama kinahatarisha usalama wa abiria na mali zao, au macho yangu tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...