BAADA YA KUSUBIRIWA KWA HAMU, HATIMAYE KILE KITABU 'Kifo ni Haki Yangu' CHA MTUNZI MAHIRI WA RIWAYA NCHINI TANZANIA, Eric James Shigongo, sasa kiko tayari kuanza kuuzwa karibu yako. Mtunzi huyo ameandaa zawadi ya VALENTINE kwako wewe msomaji wa mtandao huu, hivyo utajipatia kitabu hiki BURE, unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha wewe ni mwanachama au umeshajisajili katika mtandao wa www.globalpublishers.info, kama bado fanya hivyo kuanzia leo kisha usubiri utaratibu wa kujipatia kitabu hiki na vingine BUREEE...Stay Tuned!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal,
    Kitabu hiki hakina 'review' ya yaliyomo, maana cover ya kitabu kwa nyuma huwa na comments toka kwa wahariri, je Ankal wewe kama Mhariri Mkuu a.k.a Editor-in-Chief wa Globu maarufu ya Jamii hukupitia Riwaya hii na kuandika mistari miwili mitatu juu ya kazi hii ya Eric Shigongo?
    Mdau
    Potential-Buyer (Mnunuzi mtarajiwa)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...