Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business MachinesTanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kuuaga mwaka 2012 iliyokwenda sambamba na utoaji wa vyeti na zawadi kwa wafanyakazi wa muda mrefu.
Meneja Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni ya BMTL, Mariam Chamba akiwatambulisha wanakamati waliohusika kuwachugua, kuwatambua wafanyakazi waliofanya vizuri.
Mkurugenzi, Deen Nathwani na Meneja Mkuu Rasilimali Watu, Mariam Chamba wakipeana mkono wakati wa uzinduzi wa sera ya tuzo kwa wafanyakazi .

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...