Kiongozi wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Ndg. Dominata Rwechungura akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Jan 7, 2013).
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Palamagamba Kabudi akiongea katika mkutano na Chama cha United Democratic (UDP) wakati chama hicho kilipowasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...