TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII MUDA HUU INAELEZA KUWA,WANAFUNZI WA VYUO VYA IFM NA KILE CHA MWALIMU NYERERE KULE KIGAMBONI,WANAANDAMANA HIVI SASA KUELEKEA WIZARA YA ULINZI HUKU WAKIIMBA KUWA "WAMECHOKA KUIBIWA" IKIWA NI KUTOKANA NA MATUKIO YA KUIBIWA MARA KWA MARA.

HALI HIYO IMEFIKIA BAADA YA KUONA MATUKIO YA NAMNA HIYO YAMEZIDI KUSHIKA KASI HUKU WAKIONA JESHI LA POLISI HALICHUKUI HATUA YEYOTE KWA WEZI HAO.

RIPOTA WA GLOBU YA JAMII YUPO ENEO LA TUKIO HIVI SASA NA TUTAENDELEA KUJUZANA KINACHOENDELEA KATIKA MAANDAMANO HAYO NA PICHA KIBAO ZITAFUATA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. POLISI HEBU WASAIDIENI WANAFUNZI WANAO ISHI KIGAMBONI, INASEMEKANA MMEKUWA MKIKAA KIMYA TU BILA KUCHUKUWA HATUA YUYUTE. KWA NINI LAKINI MNAFUGA WEZIIIIIIIII. KAMA AMFUGI WEZI MNATAFUTA NINI HUKO KIGAMBONI SASA. SI HERI KUSIWE NA KITUO CHA POLISI SASA! JIPANGENI BANA HEBU ACHENI MZAA NA MAISHA NA MALI ZA RAIA WA NCHI HII.

    ReplyDelete

  2. Kumbe wamechoka kuibiwa,, vizuri sana sana hongereni sanaaa naona CBE na DIT wako kimya na wao walitakiwa kuunga mkono hoja kwani kuna hiki kipande cha morogoro road kufika fire ikishafika saa 4 usiku hakifai kabisaaaa ukitoka kusoma usiku lazima waku kabe na pilisi wako kimya wala hawaoni shida ya kuweka doria nashukuru Mungu nimekimbia hizo shida

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...