Baadhi
ya Wamiliki wa magazeti Tando (Blogs) walioko jijini Dar es Salaam,
wakiwa katika picha ya pamoja pindi walipokutana katika tafrija ya
kuwaaga washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge 2013. Kutoka kushoto ni Kassim Mbaruku, Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki a.k.a Father Kidevu.
Home
Unlabelled
WAPIGANAJI WALIPOKUTANA JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...