TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII MCHANA HUU,INAELEZA KUWA MOTO MKUBWA UMEZUKA KWENYE SOKO KUU LA MKOANI SINGIDA NA KUPELEKEA MADUKA SITA KUTEKETEA KWA MOTO HUO.

CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAFAHAMIKA MPAKA SASA NA HAKUNA TAARIFA YA KURIPOTIWA KUFARIKI WALA KUJERUHIWA KWA MTU YEYOTE MPAKA SASA,ILA MALI NYINGI ZIMETEKETEA KWA MOTO HUO.

TUTAENDELEA KUJULISHANA KADRI TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Shija ShekilangoJanuary 03, 2013

    Ankal niwie radhi kidogo, hili neno la "Breaking Nyuuuzzzzzz!!" kwangu naona kama lina ukakasi kidogo sijui kwanini, mbali na kwamba sio sanifu (hio sijali sana) lakini naona kama limekaa "kishabiki" sana wakati issue zenyewe labda wakati mwingine ni msiba!! Ankal hebu licheki hili kidogo! (manake umewaambukiza "wanao" wooote mpaka basi)

    ReplyDelete
  2. nafkiri ankal kuna haja ya kutoa tena ile kamusi ya blogu ya jamii nadhani kuna watu wageni humu... kuna mwingine aliuliza kuhusu habari ya barabara ya morogoro road... hii ndo lugha ya humu ndani... so plizi toa tena kamusi baba...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...