Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

 1. The economy of Tanzania has grown but only in the cities according to the world bank..........high time we put down strategies to develop other areas....it will help us in reducing the large number of people running away from the villages to the cities,also it will improve agriculture as young people will stay in the farms and practice agriculture.....etc

  The Mtwara saga is just a wake up call of the government to put in place plans to develop the country side and not concentrate on dar es salaam.....i am sure the mtwara people have no problem with the plant to be based in dar es salaam....they have had no electricity ,unemployment, education issues...just like other areas in the country side....what they are demanding is a plan from their government on how they are going to benefit from the project


  we have seen the problems in nigeria.....in the niger delta.......lets learn something......

  ReplyDelete
 2. Mwandishi ni nani na kwanini ameandika kwa Kiingereza?
  Mimi nasema, mitambo ya kufua umeme wa gesi ijengwe Lindi/Mtwara.Vinginevyo ni dhulma kwa Wanalindi na Wanamtwara.

  ReplyDelete
 3. Son of a gun!! What an extraodinary piece of literature, with an extraordinary brilliant points. Respect.

  ReplyDelete
 4. Zito ni msanii tu hana lolote!

  Hivi kwanza ni nani alimwambia wa Tz tunamhitaji awe RAISI wetu? Masihara kweli kweli! anafikiri Uraisi ni cheo cha majaribio? hajawahi kuwa hata hata Mkuu wa wilaya, Mkoa hata waziri mdogo!

  halafu ana tamaa sana ya utajiri huyu mtu tena ni wa kuogopwa!

  ReplyDelete
 5. Hapa Dar es Salaam pamejaa! twendeni tukajenge Mtwara, Songea, Rukwa, Sumbawanga. Maisha ya vijana yawe ahuweni. Mtwara chakula mgahawani Tshs. 15,000/- kuku mkavu na ugali. Mmakonde gani kijana atakaa huko kwa amani? Kwa kipato gani?. Korosho zenyewe Wa-Dar es Salaam ndiyo wanazimiliki!!! "TURUDISHE RASILIMALI KWA WATU". Si kusema ni umiliki wa rasilimali Kimkoa La! tujenge mitambo huko huko! Huu Ukoloni Mambolea tunauendekeza. Tuache unafiki.

  ReplyDelete
 6. very few points in 8 pages. Wanna criticize? make your point!

  Woga umekujaa tu (oh lakini usijisikie vibaya! ya nini?)

  Kama zito ni msomi anajuwa critique ni kiungo.

  ReplyDelete
 7. Mi nimefurahi ngome kongwe ya watu fulani watawala imevunjika na watu wametoa duku duku lao. Hili jambo la watu wa Mtwara lina mantiki, ndio maana hata kinchi siku hizi tunapigania "value Addition" ili kuongeza ajira na utajiri pale inapopatikana rasilimali. Nchi zisizopigania "value addition" au kuongeza thamani zimabakia maskini wa kuhurumiwa! Huu ndio ujumbe wanaotupatia watu wa Mtwara!

  Ukitaka kuhamisha kila kizuri kupeleka eti kwa walaji unaacha umaskini uliokithiri kule unakohamisha, nashangaa hata sera ya kinchi inayoruhusu baadhi ya mataifa kuhamisha hata "live animals" kwenda ngambo sijui wana visheni gani kwa watoto wetu ambao siku moja hawatamuona hata ngedele nyikani, na kulazimika kwenda ngambo kutalii(kama wana uwezo). Value addition, Local processing iwe ajenda namba moja kwa kila mazungumzo kuhusu uchumi!!

  ReplyDelete
 8. hata kama ametumia lugha ya wakoloni, pointi zake zimesimama na kunyooka kabisa.

  Haina haja ya kumfahamu, heshima kwake!!!

  ReplyDelete
 9. jamaa anatumia sera zilizofeli tangu zamani.

  kukusanya mali yoote Dar kwa kisngizio cha kuigawa kumbe kuwasogezea mafisadi.

  ReplyDelete
 10. Sasa kila mtu akingia madarakani ni ulaji tu.....hii niliisikia UCC kitengo cha UDSM. Mkuu alipostaafishwa wakakbidhiwa vijana wakaanza kuitafuna bila hata kunawa. Wajameni ndugu zangu wa Mtwala, mnalalamika lakini haamtasikilizwa kwa kuwa mmeshika makali..Nenda pale UCC mkaone kinachoendelea..Kampuni inaliwa na watu watano tu....Mhasibu mkuu, mkurugenzi mkuu, mkusanya madeni na mhasibu wa matumizi.Pale sasa ni vita tupu. wafanyakazi wanahaha kujua hatima yao. Mtandao umefungwa hakuna barua pepe kuingia wala kutoka ili ulaji wao usije ukajulikana. Lakini wapi! vijana wanawatrain wenyewe sasa wanarusha pepe kama vichaa...Jamani ufisadi sasa ni jadi ya kila mTZ ANAYEPATA UPENYO

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...