Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman akimwelezea Dk Harrison Mwakyembe jinsi uwanja wa ndege songwe unavyofanya kazi toka uzinduliwe mwezi wa 12 mwaka jana na kuwa sasa uwanja huo umebaki maendeo ya maegesho ya ndege kubwa kama boing 737 

Mmoja ya wahandisi wa ujenzi wa uwanja huo wa songwe akimwelezea waziri wa uchukuzi Dk Mwakyembe  akimwelezea hatuza za mwisho za ujenzi wa maegesho  ya ndege kubwa.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mangi Mkuu wa KiboshoJanuary 05, 2013

    Kikooro we jembe kaka nakuaminia!

    Chapa kazi baba Mungu yupo upande wa mwenye haki milele!

    Yale 'majitu' yalitaka kutuulia jembe letu kwa ajili ya uTAJIRI wa dunia!

    ReplyDelete
  2. Kweli na mie Mwakyembe na Magufuli nawakubali wanachapa kazi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Mungu awape maisha malefu muiache Tanzania pazuri.

    ReplyDelete
  3. Mungu yupo upande wa mwenye haki milele! amina

    ReplyDelete
  4. Nimesikia leo kwamba Precision Air wanaanza kuruka kwenda Mbeya/Songwe tarehe 16 kwa bei che ya 117,000!! Bye bye Auric Air na bei zenu za kibepari za 571,000!!!

    Sasa naombea Precision isiwe na delays na cancellations KKY (Kama Kawaida Yao)!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...