Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Balozi wa Uingereza hapa nchini,Bibi Diane Corner wakati Balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Waziri Ofisini kwake leo.Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Si utani huyu mama napenda style yake ya nywele sana anapedeza mno na hiyo fashion ya UTII WA RODA AU TWENDE KILIONI. Maana ni style isiyo na makuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...