Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa mtoto Brayden leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana mtoto mzuri mwenyezi mungu akuzidishie miaka tele tele.Pia mr and mrs Moses hongereni toto la nguvu hilooo.mdau CHALTON.
ReplyDeleteHappy birthday Brayden...
ReplyDeleteUshauri kwa wazazi/walezi wa Brayden
Unene sio afya hasa kwa mtoto anaendelea kukuwa kama Brayden. Samhani lakini kitaalam nikimuangalia mtoto huyu mzuri, niwazi kwamba uzito wake hauendani na umbri wake (BMI).
Angalieni aina ya vyakula mnamo mlisha, msije mkafanya akaja kuwalaumu katika maisha yake...mjengee mustakabali mwema wa afya yake ya baadae.
Dr.Amin
Kweli alienacho huongezewa, samahani sina nia ya kujeruhi nafsi ya mtu yeyote. Nasema hivyo kwa sababu Aga Khan wanajiweza na kuna those hospitals kwenye rural areas (vijijini)ambazo hawana hata bajaji, kina mama wajawazito hupelekwa kujifungua kwa baiskeli, ng'ombe wa kukokota na hata punda sometimes. Wao nafikiri ndio haswaa wahitaji wa msaada kama huo. Sorry mie napita tuu!
ReplyDelete
ReplyDeleteHuyu mtoto hana cha unene wa kutisha wala nini, aliyonayo ni "Puppy fat", akianza kucheza cha ndimu, tiari bado, kidali nk atai burn hiyo fat yote, acheni kuwa image conscious kupita kiasi, mambo ya siku huzi hujui leo baba anazo, kesho baba arosto, kuukemea unene bila strategies ndiyo kunaleta anorexia nervousa na bulimia huku mtoni and soon bongo land.
happy birthday msela nondo wala usiwe na noma.
NYIE WADAU MNAOSEMA MTOTO NI MNENE NI WIVU TUU,MAANA MBEGU KAMA HII HUWEZI KUPATA.TOTO NZURI LINA VUTIA SANA ,WENYE MAKAMPUNI JAMANI MWEKENI MTOTO KWENYE MATANGO YA BIASHARA YA LISHE NZURU.MDAU DALSTON.
ReplyDeleteHAPPY BDAY BABY BOY!!!!
ReplyDeleteNamuunga mkono Dr Amin 100% kwa kile alichokisema PLS WAZAZI AMKENI. Huyu aliyesema ni just puffy fat na mtoto ataiburn can be misleading as no guarantee of burning that fat completely kabla haijaleta madhara kwa mtoto ikiwemo kumdumaza au hata kuslow down his growth and dvp unnecessarly.
Mdau Canada