A two bedroom house is available for  immediate lease. The house is located at Kijitonyama and asking rent is USD 1,000 per month.
If interested please send text with your name to +255786223333 or email at neemashau@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hii nyumba iko Tanzania au Marekani? Kwanini bei ya pango iwe kwa $ na wala siyo Shiling ya Tanzania. Unapoweka tangazo kwa lugha ya kiingereza ukijua watanzania walio wengi kiingereza siyo lugha yetu zaidi au kuna baadhi ya watu unaowahitaji na hasa hao wenye $?!!

    ReplyDelete
  2. is Tanzania using USA dollars these days? since when, how and why? this is a shocking!

    ReplyDelete
  3. Tuwekee picha za ndani please na more outside tuone madhari ya nje as well

    ReplyDelete
  4. Nadhani hii si kwaajili ya wabongo! amount in USD! Ungeweka Tsh 1.5m per month ningekuelewa. Who knows baada ya mkataba wa miezi 6 unaweza kutaka kodi in EURO....baadae Rand....

    ReplyDelete
  5. Aaah jamani msimkandie aliye weka hilo tangazo na kukataa hali halisi ya bongo. Anatafuta rizki yake hataki majungu
    Vitu vingi tu siku hizi vinakodishwa kwa USD kutokana na udhaifu wa wa sarafu ya shilingi.
    Wewe kama imekuuma basi weka tangazo lako la kiswahili na uweke bei yako kwa shilingi, kama huna ndo ujitahidi na wewe ufikie alipofika yeye

    ReplyDelete
  6. Utumwa utaendelea mpaka mwisho wa dunia. I mean utumwa was fikra, hivi hiyo us dollar ingewekwa kwa tshs ingetokea nini na hicho kingereza cha nini si ungepeleka tangazo lako kwenye globu ya BBC English service. Au ndo utapata mteja haraka, kweli bado tuna mwendo mrefu kufika tunakoelekea. Kuna tatizo gani la kujiamini sisi mbona tuna currency na lugha yetu ?

    ReplyDelete
  7. Wadau hapo juu, Tanzania is using $$$ don't be surprised. Even regular bills e.g phone etc are asking for $$ nowadays. Welcome to Tanzania. Like they say, "Madafu hayalipi"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...