Naomba uwajulishe watembeleaji wa mtandao wako, kutoka nje na ndani ya nchi kwamba hivi sasa kuna mtandao mpyawww.bongomovietz.com special kwa ajili ya tasnia ya filamu Tanzania. Humo kuna interviews, videos kama trailers ya movie mpya, movie reviews,picha za matukio na habari kuhusu mastaa wa bongomovie na tasnia nzima kwa ujumla. Karibuni mperuziwww.bongomovietz.com    Pia tupo facebook search bongomovietz na twitter @bongomovietz  ::SPECIAL KWA AJILI YA BONGOMOVIE NA MASTAR WAKE::

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Je mkipata kitu kidogo kupitia kuninginiza matangazo ktk website yenu mnakula na wasanii au mnataka kula pekee yenu.

    Maana barani ulaya , marekani n.k muziki wa msanii ukipigwa hewani redioni,Youtube, vituo vya TV n.k wasanii nao wanapata ngawira na interview au ma-'cribs' pia wasani wanapata mgao.

    Vipi hapo www.bongomovietz.com
    Mdau
    Mtetezi wa Ulaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...