Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Juma Mpango aliyefika ofini kwa Karibu Mkuu leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Rwanda, Dk. Ben Rugangizi aliyemtembelea ofisini kwake, leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tanzania motomoto! Karibu Balozi wa kidemokrasia ya Congo Balozi Juma Mpango na wa Rwanda Balozi Ben Ruganigizi.Tusonge mbele Tanzania, kazi ina endelea na mapinduzi yamesha tokea.Hakuna haja ya Rais yoyote asiyo heshimwa na mke wake,Rais wa Liberia,Former first lady wa Afrika kusini, Zambia na sasa Mali. Ana weza kuendelea kurepresent nchi yake.Hongera Dr.Migiro pamoja na Abdulrahim Kinana. Tu songe mbele Tanzania na CCM. Deal yako ulifanya na Marekani kuhusu mimi wame kukomesha.Tusonge mbele CCM hakuna kurudi nyumba.CCM bila Kikwete.

    ReplyDelete
  2. Hakuna kurudi nyumba maana yake nini?mwenzetu mkongo nini?kwetu tunasema Hakuna kurudi nyuma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...