Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwalisha kiapo cha utii Wanachama wapya 45 wa CCM mara baada ya kuwapa kadi za chama hicho kwenye mkutano uliofanyika Kata ya Kasanda, Kakonko mkoani Kigoma

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama mpya, Elizabeth Gwimo, alipokwa wanachama wapya 45, katika mkutano uliofanyika Kata ya Kasanda, Kakonko Kigoma.

Wanachi wakishangilia jambo kwa pamoja
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye mkutano uliofanyika Kata ya Kasanda, Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mabalozi wa mashina na wazee katika Kata ya Kasanda, Kakonko mkoa wa Kigoma.

Diwani wa kata ya Kasanda, Kakonko mkoani Kigoma, Dickson Barutwa (CHADEMA), akimpa maelezo ,Ndugu Kinana kuhusu ujenzi wa nyumba za zahanati ya kata hiyo unaofanywa na serikali.


zahanati ya kata ya Kasanda iliyojengwa na Serikali,picha zaidi bofya Michuzijr.blogspot.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi ndo vizuri, na siyo alivyokuwa jamaa yetu wa kata moja mkoani Morogoro chadema pia,ile siyo nzuri.

    ReplyDelete
  2. Hahahaha!

    Mhe.Zitto Kabwe Asalekum?

    Umeona ugeni (Msafara uliofika kwa Treni) huko Kigoma?

    ReplyDelete
  3. Sawa Mhe.Kinana umewapata Wanachama hao 45, kazi iliyobaki ni Kumbatiza huyo Diwani wa KASANDA KWA TIKETI YA CHADEMA na kuhakikisha anaelekea Chama Tawala kwa kumkabidhi JEMBE NA NYUNDO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...