katibu mkuu wa chama cha CCM, Abdurahman Kinanan akifungua pazia kuzindua tawi jipya la chama hicho ndani ya kata ya Bunyambo,Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma mapema leo jioni.
Jiwe la Msingi lililowekwa na Ndugu Kinana.



Ndugu kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi jipya la chama cha CCM  kata ya Bunyambo,Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma mapema leo jioni.
Ndugu Kinana akizungumza na Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kumwambu,Wilaya ya Kibondo,Ndugu Kinana alikwenda shuleni hapo kukagua maendeleo ya ujenzi wa shule hiyo na pia kushiriki ujenzi wake,pia aliahidi kutoa Solar Pannel kwa ajili ya kuzalisha umeme ofisi za walimu,Kompyuta moja,seti ya jezi mbili sambamba na mipira miwili kwa ajili ya shule hiyo.

Ndugu Kinana akishiriki ujenzi wa shule ya sekondari ya Kumwambu akiwa sambamba na baadhi wa viongozi wa Wilaya na mkoa kutoka chama cha CCM.
Ndugu Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibondo,Emmanuel Gwegenyeza,pichani kati ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo,Venance Mwamoto pamoja na Kada wa chama hicho,Matoni Nyobeye,mara baada ya kuwasili kijiji cha Kilemba,wilayani Kibondo mapema leo jioni.Picha zaidi Bofya JIACHIE BLOG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. safi sana ccm sasa mnawajibika vizuri...wenzenu wakihamasisha fujo na migomo nyie fanyeni kinyume chake maendeleo..tu

    ReplyDelete
  2. Kigoma imeshikwa na Chama Cha Mapinduzi kila Idara!

    Sasa kazi ni moja kumsaka Zitto Kabwe na kumsilimisha kwenda Chama Tawala!!!

    Kigoma yote TSUNAMI imeanguka kwa wananchi kuingia CCM!

    ReplyDelete
  3. Huyu ndo kiongozi sasa, kashika tope, inamaana anaweza kuwajibika kwa lolote!! SAFIIIII!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...